Ulimwengu wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Mhadhiri mwenye makao yake nchini Uingereza anasema Washington na Tel Aviv "zilishangazwa" baada ya Tehran na Riyadh kutangaza kuanzisha tena uhusiano wa kidiplomasia siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3476698 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/12