iqna

IQNA

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Makundi ya kupigania ukombozi (muqawama) Palestina yameapa kuwa yatalipiza kisasi cha damu ya Sheikh Khader Adnan aliyefia shahidi ndani ya jela ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3476946    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/02

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wizara inayoshughulikia masuala ya Wapalestina wanaoshikiliwa mateka na walioachiwa huru imetangaza kuwa Sheikh Khader Adnan , mfungwa Mpalestina amekata roho na kufa shahidi ndani ya gereza la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3476945    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/02