IQNA - Kulingana na data ya hivi punde kutoka Ofisi ya Takwimu ya Kitaifa Uingereza (ONS), Muhammad limekuwa jina la mtoto maarufu zaidi la wavulana England na Wales mnamo 2023.
Habari ID: 3479867 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/06
Mwanabondia mashuhuri duniani Mohammad Ali ametoa wito kwa Waislamu hasa nchini Marekani kusimama kidete na kuwalaani wale wanaoeneza chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3462056 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/11
Takwimu mpya katika mji mkuu wa Norway, Oslo zinaoneysha kuwa, Mohammad , jina la Mtume Mtukufu wa Uislamu (SAW) ndio jina mashuhuri zaidi mjini humo.
Habari ID: 1444599 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/30