Katika sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran ameionya Saudia Arabia kuhusiana na hukumu ya kifo dhidi ya mwanazuoni mashuhuri wa Kishia nchini humo Ayatullah Sheikh Nimr Baqir al-Nimr.
Habari ID: 1463465 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/25
Khatibu wa Sala ya Idul Adh'ha iliyosaliwa Jumapili asubuhi kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Tehran amesema kuwa, iwapo Waislamu wataitumia vizuri ibada ya Hija, wakaamka na kuzitambua vizuri njia za kukabiliana na adui, kamwe Umma wa Kiislamu hautadhalilishwa.
Habari ID: 1457592 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/06