iqna

IQNA

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameeleza katika taarifa yake kuwa Waislamu watatu waliouawa hivi karibuni mjini Chapel Hill nchini Marekani walikuwa wakishiriki kwenye shughuli za utoaji misaada ya kibinadamu na ni wawakilishi wa thamani bora za uraia wa ulimwengu mzima.
Habari ID: 2851644    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/15