Diplomasia
TEHRAN (IQNA)- Seyyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Iran na Indonesia zina mitazamo ya pamoja kuhusu masuala ya kieneo na kimataifa na akabainisha kuwa nchi hizo mbili zimeshikamana na msimamo thabiti katika kuunga mkono haki za wananchi wa Palestina hadi Quds tukufu itakapokombolewa
Habari ID: 3477033 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/23