Mwandishi wetu nchini Uturuki ameripoti kuwa katika mwaka uliopita wa 2008 familia nyingi za Uturuki ziliwachaguliwa watoto wa kiume jina la Yusuf na watoto wa kike jina la Zainab.
Majina ya Arda, Mustafa, Muhammad na Ahmad yalishika nafasi zilizofuata baada ya jina la Yusuf. 371767