Jumuiya hiyo imetoa wito kwa wanachuo, watafiti na wataalamu wa masuala ya kijamii na kidini kutuma makala zao kuhusu maudhui hiyo kwa sekretarieti ya mkutano huo hadi kufikia tarehe 10 Oktoba.
Baada ya kuchunguzwa, makala bora zitateulia na waandishi wake wataalikwa kushiriki kwenye mkutano huo nchini Ufaransa.
Waandishi wa makala hizo wanapasa kutambua kwamba makala zao zinapaswa kuzungumzia jamii ambazo si za kidini zilizoathiriwa na dini, kwa mfano taathira za dini ya Kiislamu kwa watu wa Ulaya. 652700