Jamil Khir Baharom Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu amesema amemtaka mkurugenzi wa Mohamad Sheikh Abdul Aziz Baitulmal Professional Institute (IPB) kufuatilia suala hilo ili wanafunzi wa Malaysia wasiende tena katika nchi hizo kwa ajili ya masomo ya masuala ya kiuchumi na kifedha. Amesema Malaysia inataka kuwa na wasomi wenye umahiri katika masuala ya mfumo wa banki na kiuchumi wa Kiislamu.
Jamil Khir amesema serikali pia imetekeleza mipango kadhaa za kuimarisha mfumo wa kifedha wa Kiislamu nchini Malaysia.
802686