Katika kongamano hilo wasomi na wanazuoni wa Kishia walichunguza malengo ya kisiasa ya Waislamu wa madhehebu ya Shia na kutoa mitazamo yao kuhusu suala hilo.
Kongamano hilo lilisimamiwa na Baraza la Umoja wa Waislamu la Pakistan katika jengo la kihistoria la Minar Pakistan mjini Lahore. 1043322