IQNA

Mwezi wa Ramadhani

Kila siku na Qur'ani: Qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 5

Hili ni mara ya kwanza qiraa hii inasambazwa mitandanoni kwa ajili ya kuinua hali ya kiroho kwa waumini ulimwenguni.

Kila siku na Qur'ani: Qiraa ya Tarteel ya Juzuu 5

 
Fuatilia IQNA kila siku katika safari ya kusoma Qur'ani Tukufu wakati wa mwezi uliobarikiwa wa Ramadhani ili kukamilisha kusoma kitabu kitakatifu kufikia mwisho wa mwezi.
Kishikizo: ramadhani ، qurani tukufu ، tarteel