IQNA

Klipu | Qiraa ya Anwar katika mkutano wa wasimamizi wa Hija na Kiongozi Muadhamu

Amir Hossein Anwari, qari wa Qur'ani katika Msafara wa Nur wa Hija ya 1445, alisoma aya za 197 hadi 199 za Surah Al-Baqarah na Surah Nasr wakati wa mkutano wa maafisa wasimamizi wa Hija nchini Iran na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Khamenei mnamo Mei 6 jijini Tehran .
Kishikizo: qiraa ، hija ، muirani