IQNA

11:50 - October 29, 2020
News ID: 3473308
TEHRAN (IQNA) – Dkt. Javad Foroughi ni qarii mashuhuri Muirani ambaye ni mashuhuri kimataifa kwa qiraa yake ya Qur'ani Tukufu.

Foroughi alizaliwa mwaka 1979 katika mji wa Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran na alipata umashuhuri kutokana na qiraa yake ya Qur'ani katika kanali za televisheni nchini Iran.

Klipi ifuatayo ni ya qiraa yake katika muongo wa 80.

3931457

Name:
Email:
* Comment:
* captcha: