IQNA

9:15 - May 17, 2020
News ID: 3472775
Shirika la Habari la Qur'ani la Kimataifa (IQNA) limekuwa likuwaleteeni qiraa za wasomaji mbali mbali wa Qur'ani katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Klipu ya leo ni tilawa ya aya 138 hadi 148 za Sura Aal Imran katika Qurani Tukufu kwa sauti ya Qarii wa kimataifa wa Misri, marhum Sheikh Ragheb Mustafa Ghalwash mwaka 1981.

Sheikh Mustafa Ghalwash aliyekuwa qarii katika Radio ya Qur'ani ya Misri na mwanachama wa Jumuiya ya Wasomaji (quraa) na Waliohifadhi (huffadh) Qur'ani Misri aliaga dunia na kurejea kwa Mola wake Februari mwaka 2016.

3899170

Name:
Email:
* Comment:
* captcha: