iqna

IQNA

vikwazo
Kukabiliana na maadui wa Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Yemen imepiga marufuku kuingia kwa bidhaa zinazozalishwa na nchi za Ulaya ambazo zimewezesha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu, ambapo kiongozi wa harakati ya muqawama ya Ansarullah ameitaja hatua wanayochukua kuwa ni " vikwazo vya kiuchumi".
Habari ID: 3476802    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/02

Njama dhidi ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikwazo vipya vilivyotangazwa na Umoja wa Ulaya dhidi ya shakhsia 29 na taasisi tatu za Kiirani, ikiwemo kanali ya televisheni ya Press TV.
Habari ID: 3476094    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/15

Jibu kwa jinai za Marekani
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa imeyaweka majina ya shakhsia kumi na taasisi nne za Marekani kwenye orodha yake ya vikwazo .
Habari ID: 3476020    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/01

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amevitaja vikwazo vya michezo baada ya kuanza vita vya Ukraine kuwa vinakadhibisha madai ya waistikbari na wafuasi wao kuhusu kutoingizwa siasa katika michezo.
Habari ID: 3475909    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/10

Rais wa Iran katika mazungumzo ya simu na Rais wa Ufaransa
TEHRAN (IQNA)- Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemfahamisha Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kuwa, Iran inataka kuona natija katika mazungumzo ya nyuklia yanayoendelea sasa Vienna Austria na kwamba lazima mazungumzo hayo yahitimishwe kwa Iran kuondolewa vikwazo .
Habari ID: 3474622    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/30

Rais Ebrahim Raisi
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii imeweza kupata mafanikio makubwa katika sekta za ulinzi na nyuklia pamoja na kuwepo vikwazo shadidi vya maadui na hivyo vikwazo kama hivyo haviwezi kuwa kizingiti katika ustawi wa Iran.
Habari ID: 3474411    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/11

TEHRAN (IQNA)- Afisa wa ngazi ya juu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kundi hilo la muqawama lina haki ya kutumia njia zote halali kulilinda taifa la Lebanon, na kuvunja vikwazo na mzingiro wa Marekani dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3474387    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/06

TEHRAN (IQNA) - Wabunge 200 wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wametoa tamko la pamoja la kutaka kufutwa vikwazo vyote ilivyowekewa Iran.
Habari ID: 3473924    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/18

Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa vikwazo ni dhulma kubwa dhidi ya taifa la Iran na vinapaswa kuondolewa ameeleza kwamba.
Habari ID: 3473774    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/31

TEHRAN (IQNA) - Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani haina budi ila kulipigia magoti taifa la Iran baada ya kukiri kufeli sera zake za vikwazo .
Habari ID: 3473693    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/01

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Iran itarejea katika ahadi zake za makubaliano ya nyuklia ya JCPOA pale Marekani itakapoliondolea taifa hili vikwazo vyake vyote tena kivitendo na sio kwa maneno matupu au katika makaratasi tu.
Habari ID: 3473629    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/07

TEHRAN (IQNA)- Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imelaani vikali hatua ya serikali ya Marekani ya kukiwekea vikwazo Chuo Kikuu cha Kimataifa cha al-Mustafa cha Iran.
Habari ID: 3473501    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/28

TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kumuweka balozi wa Marekani nchini Yemen katika orodha ya waliowekewa vikwazo na Iran.
Habari ID: 3473443    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/10

TEHRAN (IQNA) - Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al MustafaSAW kimetoa taarifa na kueleza kuwa hatua ya serikali ya Markani ya kukiwekea vikwazo chuo hicho ni mfano wa wazi wa siasa za kupinga elimu.
Habari ID: 3473442    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/10

TEHRAN (IQNA)- Katika muendelezeo wa vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran, Wizara ya Fedha ya nchi hiyo imetangaza vikwazo dhidi ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa SAW na balozi wa Iran nchini Yemen Hassan Irloo.
Habari ID: 3473440    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/09

TEHRAN (IQNA) - Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wamelitaka Shirika la Atomiki la Iran kuzalisha urani iliyorutubishwa kwa zaidi ya asilimia 20 kwa ajili ya matumizi ya amani.
Habari ID: 3473412    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/01

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii katu haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wa makombora yake ya kujihami.
Habari ID: 3473275    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/19

Rais Hassan Rouhani
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani haitaweza kuvunja mapambano na muqawama wa taifa la Iran kwa kuweka vizingiti vya kununua na kudhamini dawa na chakula.
Habari ID: 3473244    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/09

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Jumapili imetoa tamko rasmi na kusema kuwa, Marekani ndiye mhatarishaji mkubwa wa usalama na amani katika kona zote za dunia.
Habari ID: 3473186    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/20

Balozi wa Syria katika Umoja wa Mataifa
TEHRAN (IQNA)- Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema, ugaidi unaolenga siha za watu ni hatua mpya ya upande mmoja ya Marekani ambayo imeyaweka hatarini maisha ya watu bilioni mbili duniani.
Habari ID: 3472755    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/11