iqna

IQNA

Kongamano la Kimataifa la Kupambana na Ugaidi na Uchupaji Mipaka lililokuwa likifanyika katika taasisi ya al Azhar nchini Misri limesisitiza katika taarifa yake ya mwisho kuwa, makundi ya kitakfiri na yenye misimamo mikali hayana uhusiano wowote na Uislamu.
Habari ID: 2615265    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/05

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al-Azhar mjini Cairo Misri amelaani vikali jinai zinazofanywa na makundi ya kitakfiri duniani hasa kundi la Daesh (ISIL).
Habari ID: 2615011    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/04

Sheikh Ahmad Karima Mhadhiri mwandamizi katika Chuo Kikuu cha al Azhar nchini Misri amepigwa marufuku kufundisha na siku zijazo atafunguliwa mashtaka mahakamani, kwa kosa eti la kuitembelea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 1470086    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/04

Waislamu wa Kishia nchini Misri wamemwalika Sheikh Mkuu wa al-Azhar kuhudhuria shughuli ya maombolezo ya Ashura ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein mjukuu wa Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 1465815    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/31

Pendekezo la kutaka kufukuliwa kaburi la Mtukufu Mtume Muhammad (saw) lililoko Masjid al-Nabawi mjini Madina na kuhamishwa mabaki ya mwili wa mtukufu huyo kwenda kuzikwa katika makaburi ya Baqii, Saudia, limekabiliwa na radiamali kali kutoka kwa maulama wa Chuo Kikuu cha al-Azhar nchini Misri
Habari ID: 1446838    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/06

Magaidi wa Kitakfiri au Kiwahabbi ambao wanajifanya kuwa Waislamu sasa wanatekeleza jinai katika maeneo mbali mbali ya dunia kwa lengo la kuuharibia jina Uislamu. Hayo yamedokezwa na Shekhe Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri, Ahmad Tayyib.
Habari ID: 1407014    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/15