iqna

IQNA

Katika kuendelea ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Bahrain, wanajeshi wa utawala wa Aal Khalifa wamemtia mbaroni Nabil Rajab, mkuu wa kituo cha haki za binadamu nchini humo.
Habari ID: 3470381    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/13

Watu wa Bahrain wamefanya maandamano wakitangaza mfungamano wao na wafungwa wengine wa kisiasa nchini humo.
Habari ID: 3470281    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/01