iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)-Waislamu waliokuwa wameamka kutekeleza ibada za usiku za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani walifanikiwa kuokoa maisha ya watu wengi wakati wa kuanza kuteketea moto jengo la Grenfell Tower mjini London.
Habari ID: 3471019    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/15

TEHRAN (IQNA)-Wanawake Waislamu mjini London wamekusanyika katika Daraja la Westminster na kuunda mnyororo wa binadamu (human chain) kubainisha kufungamana kwao na waathirika wa hujuma ya kigaidi wiki iliyopita katika eneo hilo.
Habari ID: 3470911    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/28

IQNA-Maonyesho ya kwanza ya mavazi ya Hijabu yamefanyika mjini London na kuwavutia mamia ya wanawake waliokuwa wakitafuta mitindo bora yenye kuzingatia misingi ya Kiislamu.
Habari ID: 3470858    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/19

IQNA-Waislamu wawili wametimuliwa kutoka ndege ya shirika moja la Marekani mjini London baada ya wasafiri kadhaa Waingiereza kulalamika kuwa walimsikia mmoja wao akizungumza kwa lugha ya Kiarabu kwa simu.
Habari ID: 3470753    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/22

IQNA: Waislamu katika mji mkuu wa Uingereza, London wamekusanya tani nyingi za chakula kwa ajili ya kuwasaidia mayatima na watoto wa mitaani katika kipindi hiki cha sherehe za kufunga mwaka.
Habari ID: 3470749    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/19

IQNA-Mabasi kadhaa nchini Uingereza yamepambwa kwa jina la Mtume Muhammad SAW na ujumbe wake wa Amani kwa munasaba wa kuwadia sherehe za Mawlid ya Mtukufu Huyo.
Habari ID: 3470722    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/07

Mwanamke Mwislamu amehujumiwa na kuvuliwa Hijabu katika hujuma ya kibaguzi iliyojiri mjini London.
Habari ID: 3470607    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/10

Misikiti kadhaa mjini London imepokea vitio vya kigaidi kutoka kwa makundi yanayoamnikiwa kuwa ya wabauguzi wa mrengo wa kulia huku vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu vikiongezeka nchini humo.
Habari ID: 3470442    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/09

Shirika moja la kutoa misaada nchini Uingereza limeanzisha kampeni ya matangazo yenye mabango ya 'Subhan Allah' kwa ajili ya kushajiisha watu watoe misaada katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470304    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/10

Sadiq Khan wa chama kikuu cha upinzani cha Leba nchini Uingereza amechaguliwa kuwa Meya wa mji wa London na hivyo kuwa Meya wa kwanza Mwislamu kuuongoza mji huo mkuu.
Habari ID: 3470297    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/07

Wanaharakati wameandamana tena nje ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini London kupinga hukumu ya kifo iliyotolewa na mahakama kuu dhidi ya mwanazuoni mashuhuri wa Waislamu wa madhehebu ya Shia, Sheikh Nimr Baqir An-Nimr.
Habari ID: 3415411    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/30

Kongamano la Sita la Kimataifa la Utafiti wa Qur’ani litafanyika London, Uingereza mwezi Juni mwakani.
Habari ID: 3409346    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/29

Takwimu mpya zinaonyesha kuwa idadi ya jinai zinazosababishwa na chuki dhidi ya Waislamu zimeongezeka nchini Uingereza mwaka uliopita.
Habari ID: 3360838    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/09