TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu ya Misri imepanga mashindano ya qiraa ya Qur’ani Tukufu kwa maqarii watakaotumwa nje ya nchi katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3474774 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/06
Maqarii wengine watatu wa Qur'ani Tukufu Wairani wametambuliwa kuwa miongoni mwa Mahujaji waliopoteza maisha katika maafa ya Mina Alhamisi wiki iliyopita.
Habari ID: 3377233 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/02
Qarii mashuhuri na mtajika wa Misri, Ustadh Dkt. Abdul Fattah Tarouti ametuma salamu zake za rambi rambi kufuatia kurejea kwa Mola wao maqarii hao wawili wa kimataifa waliokuwa wakitekeleza ibada ya Hija katika eneo la Mina karibu na mji mtakatifu wa Makkah.
Habari ID: 3372198 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/27
Maqarii wa Qur'ani kutoka pembe mbali mbali duniani hasa Misri wanaendelea kuomboleza vifo vya maqarii wawili mashuhuri wa Iran waliokuwa wakitekeleza ibada ya Hija katika eneo la Mina karibu na mji mtakatifu wa Makkah.
Habari ID: 3372181 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/27