TEHRAN (IQNA)- Mchezaji chipukizi wa timu ya kandanda ya Arsenal ya Uingereza kutoka Ghana, Thomas Partey amesilimu na kuwa Muislamu, kulingana na picha zilizochapishwa na akaunti ya "Muslim Athletes" kwenye mtandao wa Instagram.
Habari ID: 3475057 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/20