iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Katika mfululizo wa darsa zake kuhus 'Katika Njia ya Kumhudumia Allah', mwanazuoni maarufu wa masuala ya akhlaqi nchini Iran Sheikh Dkt. Morteza Aghatehrani anazungumza kuhusu kudhibiti nafsi.
Habari ID: 3475126    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/14