Sunnah za Mwenyezi Mungu katika Qur'ani/4
IQNA – Sunnah ya Mwenyezi Mungu ya Hidayah (mwongozo) ambayo inafanywa na viongozi wa Mwenyezi Mungu inawaongoza watu kwenye lengo kuu.
Habari ID: 3479343 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/28
Sunnah za Mwenyezi Mungu katika Qur’anI /3
IQNA – Imdad au msaada wa Mwenyezi Mungu ni Sunnah inayowanufaisha wanadamu wote, wawe ni waumini au makafiri.
Habari ID: 3479333 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/26
Sunnah za Mwenyezi Mungu katika Quran/2
IQNA – Kwa maneno ya Qur’ani, Istidraj ni mojawapo ya Sunna za Mwenyezi Mungu zisizobadilika na zilizoenea.
Habari ID: 3479325 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/24
Fikra za Imam Khomeini
TEHRAN (IQNA)- Ijapokuwa Imam Khomeini anajulikana kuwa kiongozi wa kimapinduzi na shakhsia wa kisiasa, alikuwa na shughuli na nadharia muhimu katika uga wa irfani (mysticism) na sayansi ya kidini. Aliarifisha irfani kama kama njia inayotokana na Qur'ani na Sunnah.
Habari ID: 3475323 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/01