Qarii wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni klipu imesambaa katika mitandao ya kijamii kuhus Qarii wa Misri, Marhum Sheikh Antar Saeed Musallam akisoma dua kabla ya kuanza qiraa ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3475327 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/02