iqna

IQNA

Sayyid Hassan Nasrallah
Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah amesema Saudi Arabia sasa imekuwa kizingiti kikubwa katika ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3470386    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/14

Mahathir Mohammad
Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia Mahathir Mohammad ametoa wito kwa Waislamu wa madhehebu ya Sunni waliowengi Malaysia kuwakibali Mashia kama Waislamu wenzao ili kzuia mapigano ya madhehebu nchini humo kama yale yanayoshuhudiwa katika baadhi ya nchi za Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3362892    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/15

Shekhe Mkuu wa Al Azhar Sheikh Ahmed el-Tayeb amesisitiza kuhusu umuhimu wa kudumisha umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3351450    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/25

Mhadhiri mmoja wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al-Azhar nchini Misri amesema kuwa, hakuna tatizo lolote katika kuwakurubisha pamoja Waislamu wa madhehebu ya Suni na Shia.
Habari ID: 3345811    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/18

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Ayatullahil Udhma Khamenei Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inazinyooshea mkono wa urafiki serikali zote za Kiislamu za eneo na wala haina tatizo lolote na serikali za Kiislamu.
Habari ID: 3345403    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/18

Sheikh Mkuu wa al Azhar nchini Misri amesema, kuwakufurisha Waislamu wa madhehebu ya Shia kunakofanyika kupitia kanali za televisheni za satalaiti ni kitendo kisichokubalika.
Habari ID: 3339753    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/07

Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Kiislamu
Msomi wa Kiislamu Uingereza Dkt. Kamal Helbawi amesema wito wa Chuo Kikuu cha Al Azhar Misri wa kutaka kufanyike kikao cha pamoja baina ya maulamaa wa Kishia na Ki suni ni fursa nzuri ya kuondoa fitina zilizopo katika jamii za Waislamu duniani.
Habari ID: 3339022    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/05

Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon
Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon Gebran Bassil amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unafaidika sana na mgogoro baina wa Waislamu wa madhehebu ya Shia na Suni.
Habari ID: 3311306    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/06

Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al Azhar nchini Misri kimeandaa kongamano kubwa litakalowajumuisha pamoja maulama wa Kishia na Ki suni kutoka nchi zote za Kiarabu. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, lengo la kongamano hilo ni kutatua baadhi ya tofauti ndogo zilizopo kati ya pande mbili.
Habari ID: 2708738    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/14

Katibu Mkuu wa Harakatiya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, machafuko na migogoro inayoendelea kushuhudiwa katika eneo la Mashariki ya Kati haifungamani kabisa na Ushia wala U suni , bali ni mkakati maalumu wa Marekani wenye lengo la kutaka kulidhibiti eneo hili nyeti.
Habari ID: 1470085    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/04

Imam Khamenei
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil-Udhmaa Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, hatua yoyote inayochochea chuki na tofauti baina ya Suni na Shia, inaisaidia Marekani, Uingereza na utawala haramu wa Kizayuni, yaani katika kuibua harakati za kijinga, zilizopitwa na wakati na za kitakfiri.
Habari ID: 1460143    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/14

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameyataja makundi ya kitakfiri kuwa ni hatari kwa Waislamu wote, wawe Waislamu wa Kishia au Waislamu wa Ki suni .
Habari ID: 1406467    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/13