Hujuma ya kigaidi
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Iran Ebrahim Raisi amewaagiza Waziri wa Mambo ya Ndani Ahmad Vahidi na Gavana wa Mkoa wa Fars Mohammad Hadi Imaniyeh wawatambue haraka na kuwaadhibu wahusika wa shambulio la kigaidi katika Haram Takatifu ya Hadhrat Ahmad bin Musa (AS) maarufu kama Shah Cheragh mjini Shiraz kusini mwa Iran.
Habari ID: 3477434 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/14
Jinai dhidi ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Intelijensia (Usalama) ya Iran imesema kuwa, vikosi vya usalama nchini vimewatia mbaroni magaidi 26 wakufurishaji ambao walihusika na shambulio la hivi karibuni la kigaidi kwenye Haram Takatifu ya Shah Cheragh katika mkoa wa kusini wa Fars na kuongeza kuwa, mratibu mkuu wa machafuko hayo hatari ni raia wa Jamhuri ya Azerbaijan.
Habari ID: 3476053 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/07
Hujuma ya kigaidi
TEHRAN (IQNA)- Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ametoa onyo kali kwa maadui, akisema kuwa vikosi vya Iran havina kikomo linapokuja suala la kulinda usalama wa nchi.
Habari ID: 3476008 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/30
Hujuma ya kigaidi
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itatoa jibu kali na la kujutisha kwa wale waliohusika katika shambulio la kigaidi dhidi ya Haram Tukufu ya Shah Cheragh mjini Shiraz, kusini magharibi mwa nchi.
Habari ID: 3475993 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/27
Ugaidi dhidi ya raia
TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya watu 15 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya gaidi aliyekuwa na silaha nzito kushambulia eneo takatifu katika mkoa wa kusini magharibi mwa Iran wa Fars siku ya Jumatano.
Habari ID: 3475990 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/26