Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kila mtu anapata fursa kujua baadhi ya watu wanaoishi karibu naye na kuwakubali kama ma jirani . Ingawa watu hawa hawana uwepo wowote katika maisha yetu ya kibinafsi, wana haki fulani ambazo dini inaona ni muhimu kuwaheshimu.
Habari ID: 3476007 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/30