iqna

IQNA

Takribani watu milioni 20 wamewasili Karbala kwa ajili ya kushiriki katika Arubaini ya Imam Husain AS. Mkuu huyo wa mkoa wa Karbala amesema kuwa hii ni mara ya kwanza kabisa kumiminika watu kiasi chote hicho katika historia ya ziara za Imam Husain AS.
Habari ID: 2617895    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/13

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Takribani miaka 1375 iliyopita, ilifanyika majlisi ya kwanza ya siku ya Arubaini tangu kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW) Imam Hussein bin Ali (AS) akiwa na watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume ambao waliuawa shahidi tarehe 10 Muharram mwaka 61 Hijria.
Habari ID: 2617894    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/13

Kwa wale watu wanaofahamu vyema historia ya Uislamu, mwezi wa Muharram hukumbusha mapambano makubwa ambayo yalifanywa na Imam Hussein (as) kwa ajili ya kurekebisha na kuhuisha dini ya babu yake Mtume Muhammad (saw) ambayo ilikuwa imepotoshwa kwa kiwango kikubwa na maadui wa Uislamu pamoja na watu waliokuwa na tamaa ya kuitawala dini kifalme.
Habari ID: 1466308    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/01

Waislamu wa Kishia nchini Misri wamemwalika Sheikh Mkuu wa al-Azhar kuhudhuria shughuli ya maombolezo ya Ashura ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein mjukuu wa Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 1465815    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/31

Tarehe 25 Shawwal miaka 1287 iliyopita Imam Jafar Sadiq AS mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW aliuawa shahidi. Alizaliwa tarehe 17 Mfunguo Sita Rabiul na kipindi chake cha U imam u kilianza mwaka 114 Hijria.
Habari ID: 1441613    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/21

Tarjama ya Kiswahili ya Nah-ul-Balagha imechapishwa kwa mara ya kwanza kwa hisani ya Kituo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania.
Habari ID: 1424341    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/30

Tarehe 13 Rajab inasadifiana na siku ya kuzaliwa Amirul Muuminiin Ali bin Abi Talib AS mmoja kati ya Watu wa Nyumba tukufu ya Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 1406468    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/13

Habari iliyochapishwa na gazeti la al Umanaa la Yemen kwamba rais wa zamani wa nchi hiyo Ali Abdullah Saleh alitwaa na kuchukua nakala ya Qur'ani iliyoandikwa kwa hati za mkono inayonasibishwa kwa Imam Ali bin Abi Twalib (as) imezusha mjadala mkubwa nchini humo.
Habari ID: 1377495    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/19