wahifadhi

IQNA

IQNA – Shule ya kuhifadhi Qur’ani ya “Ibad al-Rahman” iliyopo kijiji cha Atu, karibu na mji wa Bani Mazar katika mkoa wa Minya kaskazini mwa Misri, iliandaa mjumuiko maalumu kwa ajili ya kuwasherehekea wahifadhi wa Qur’ani wa kijiji hicho.
Habari ID: 3481667    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/16

Harakati za Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) – Mtihani wa nne wa kuchagua wahifadhi Qur’ani wanaotaka kujiunga na Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri umeancha nchini humo.
Habari ID: 3476419    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/17