Aya za Machipuo/ 2
TEHRAN (IQNA) - Wakati Wairani na mataifa mengine kadhaa wakisherehekea siku kuu ya Nowruz, kuashiria mwanzo wa majira ya machipuo, ni wakati muafaka wa kuashiria aya za Qur'ani Tukufu kuhusu kuhuishwa ardhi katika majira ya kuchipua baada ya msimu wa majira ya baridi kali. Kwa hakika machipuo nidalili za rehema na uwezo wa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3476737 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/21