iqna

IQNA

Ushirikiano wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kituo cha Utamaduni cha Iran mjini Kampala, mji mkuu wa Uganda, kimetia saini mkataba wa maelewano (MoU) na Idhaa ya Kiislamu ya Bilal ya nchi hiyo ya kuhusu ushirikiano katika nyanja za kitamaduni.
Habari ID: 3476807    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/03