Qari mashuhuri
IQNA - Wiki hii iliadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Sheikh Muhammad Rif'at, mmoja wa maqari wakubwa wa Qur’ani Tukufu katika zama zote nchini Misri.
Habari ID: 3478807 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/12
Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /30
TEHRAN (IQNA) – Baada ya kusikia kisomo cha Qur'ani cha qari mashuhuri wa Misri Sheikh Muhammad Rifat wakati wa Vita vya Pili vya Dunia, rubani mmoja wa Kanada alipendezwa na Uislamu na baadaye akaenda Misri kusilimu mbele ya msomaji huyo maarufu wa Quran Tukufu.
Habari ID: 3476812 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/04