IQNA-Chama cha Wanafunzi Waislamu wa Ufaransa (EMF) kimelaani vikali pendekezo la sheria inayopiga marufuku uvaaji wa Hijabu katika mashindano ya michezo, likiitaja kuwa "ya kibaguzi, ya chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) na ya ubaguzi wa kijinsia."
Habari ID: 3480247 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/21
Waislamu Ujerumani
IQNA- Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Ali Bagheri Kani amelaani vikali hatua ya polisi ya Ujerumani ya kupiga marufuku Kituo cha Kiislamu cha Hamburg (IZH) na asasi zake tanzu, na kusema kwamba hatua hiyo inakiuka kanuni za kimsingi za uhuru wa kuabudu.
Habari ID: 3479189 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/26
WASHINGTON, DC (IQNA) - Donald Trump aliuambia mkutano wa wafadhili wa Kiyahudi wa Republican siku ya Jumamosi kwamba atarejesha marufuku yake ya wasafiri kutoka nchi nyingi za Waislamu ikiwa atashinda tena urais mnamo 2024.
Habari ID: 3477806 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/29
TEHRAN (IQNA)-Waislamu Marekani wamelaani uamuzi wa Mahakama ya Kilele nchini humo kuunga mkono marufuku kuingia nchini humo wasafiri kutoka nchi tano za Waislamu huku wakisema uamuzi huo utawaathiri vibaya.
Habari ID: 3471575 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/28
TEHRAN (IQNA)-Serikali ya Saudi Arabia imewapiga marufuku mahujaji na wafanyaziara kupiga picha au kuchukua video kwa kutumia chombo chochote katika Misikiti Miwili Mitakatifu ya Kiislamu ya Makka na Madina.
Habari ID: 3471279 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/25
IQNA-Maelfu ya Wapalestina wameandamana kupinga sheria ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kupiga marufuku adhana katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu.
Habari ID: 3470890 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/12
Serikali ya Bangladesh imeipiga marufuku televisheni ya satalaiti maarufu kama 'Peace TV' inayofungamana na mhubiri wa Kiwahhabi Zakir Naik kwa tuhuma za kuunga mkono misimamo mikali na ugaidi.
Habari ID: 3470446 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/11
Shirika la Kutoa Huduma za Satalaiti kwa Televisheni limelaaniwa kwa kuzima televisheni ya Al-Manar iliyokuwa ikirusha matangazo yako kupitia mitambo ya shirika hilo.
Habari ID: 3460128 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/06
Taasisi ya juu zaidi ya Waislamu Nigeria, Jama'atu Nasril Islam, JNI, imetangaza kupinga vikali takwa la kupigwa marufuku hijabu nchini humo baada ya baadhi ya magaidi kutumia vazi hilo la stara la kufunika mabomu wanayosheheni mwilini.
Habari ID: 3328801 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/16
Kundi moja la Waislamu wa China wameituhumu serikali ya nchi hiyo kuwa imeanzisha vita visivyo rasmi dhidi ya Waislamu na Uislamu nchini humo.
Habari ID: 3322211 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/01
Serikali ya China imepiga marufuku wanafunzi, walimu na watumishi wa umma katika eneo la Xinjiang lenye Waislamu wengi kutekeleza ibada ya Saumu kwenye mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3315931 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/19