Tukio la Eid Ghadir Khum
Balozi wa Iran mjini Vatican alisema vipengele tofauti vya Tukio la Eid Ghadir Khum vinapaswa kufafanuliwa katika vituo vya kitaaluma vya dunia.
Habari ID: 3479013 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/26
Habari iliyochapishwa na gazeti la al Umanaa la Yemen kwamba rais wa zamani wa nchi hiyo Ali Abdullah Saleh alitwaa na kuchukua nakala ya Qur'ani iliyoandikwa kwa hati za mkono inayonasibishwa kwa Imam Ali bin Abi Twalib (as) imezusha mjadala mkubwa nchini humo.
Habari ID: 1377495 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/19