IQNA – Raundi ya mwisho ya toleo la pili la Mashindano ya Kimataifa ya Usomaji wa Qurani ya Al-Ameed ilizinduliwa katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq na kuanza kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480295 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/03
Mashindano ya Qur’ani barani Afrika
Mashindano ya kwanza ya Qur'ani barani Afrika yanatarajiwa kufanyika nchini Uganda mwezi Oktoba mwaka huu.
Habari ID: 3479014 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/26
Mashindano ya ۳۱ ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yamemalizika leo Jumatatu hapa Tehran bada kuendelea kwa muda wa wiki moja.
Habari ID: 1413796 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/02