iqna

IQNA

Afya na Dini
MECCA (IQNA) - Wakala unaosimamia maeneo mawili matukufu zaidi ya Uislamu huko Makka na Madina umetoa ushauri kwa Waislamu wa kisukari wanaopanga kufanya Umra.
Habari ID: 3477739    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/15

Idara inayosimamia masuala ya Msikiti Mtakatifu wa Makka na Msikiti wa Mtume (saw) mjini Madina imegawa nakala milioni moja za tarjumi za Qur'ani kwa lugha 41 katika Masjidul Haram kwa mnasaba wa mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 1426540    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/06