Ayatullahil Udhma Nasser Makarem Shirazi mmoja wa maulama na wanazuoni wakubwa nchini Iran amekosoa vikali siasa za kindumakuwili za baadhi ya madola ya Mashariki ya Kati kuhusiana na matukio ya eneo hili likiwemo suala la kundi la kigaidi la Daesh.
Habari ID: 2614519 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/02
Kongamano la Kimataifa kuhusiana na Tishio la Makundi ya Kitakfiri na Yenye Kufurutu Ada limeanza leo katika mji mtukufu wa Qum hapa nchini Iran kwa kuhudhuriwa na masheikh na maulamaa kutoka nchi mbalimbali duniani.
Habari ID: 1476323 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/23