Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amewasilisha kwenye Baraza Kuu la umoja huo rasimu ya azimio lililopendekezwa na Jamhuri ya Kiislamu la 'dunia isiyo na ukatili na vitendo vya kufurutu mpaka'.
Habari ID: 3462298 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/12
Kiongozi wa Chuo Kikuu cha al-Azhar nchini Misri Ahmad al-Tayib, ametoa wito kwa nchi za Kiislamu kufanyia marekebisho mitalaa ya elimu katika taasisi za elimu ili kupunguza wimbi la vijana kujiunga na makundi ya kigaidi.
Habari ID: 2891633 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/24