Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu wasiopungua 1,000 wamefariki dunia na wengine 1,500 wamejeruhiwa katika msongamano wa mahujaji wakati wa kutekeleza ibada ya Hija huko Mina karibu na Makka.
Habari ID: 3367053 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/24