iqna

IQNA

halali
LONDON (IQNA) - Uwanja wa London unatazamiwa kuandaa Tamasha la Kila mwaka la Chakula cha Halali cha Dunia mwezi huu.
Habari ID: 3477571    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/09

Soko la 'Halal'
TEHRAN (IQNA) – Makampuni ya chakula ya Korea Kusini yanatilia maanani soko la 'Halal' katika nchi mbalimbali.
Habari ID: 3475411    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/22

TEHRAN (IQNA)- Shirika la kifedha la Kiislamu la Wahed, ambalo hutoa huduma halali za kifedha limepata leseni ya kutoa huduma nchini Afrika Kusini.
Habari ID: 3474213    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/21

TEHRAN (IQNA) – Vladimir Gushchin mtafiti katika Kituo cha Utafiti wa Gamaleya nchini Russia ambayo imetengenza chanjo ya Corona ya Sputnik V amesema chanjo hiyo ni halali kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 3473643    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/12

TEHRAN (IQNA) – Pamoja na kuwa mustakabali wa uchumi wa Uingereza haujulikani kutokana na uamuzi wa nchi hiyo kujiondoa katika Umoja wa Ulaya, lakini biashara ya chakula halali nchini humo inazidi kuimarika kutokana kuongezeka matumizi miongoni mwa Waislamu.
Habari ID: 3472299    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/24

TEHRAN (IQNA) - Shirika moja la anga za mbali la nchini Russia ambalo hutayarisha chakula cha wanaanga (astronauts) kimesema kitaanza kutayarisha chakula halali maalumu kwa ajili ya Waislamu.
Habari ID: 3472033    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/07

TEHRAN (IQNA)- Mji wa Osaka, Japan umeimarisha mikakati yake ya kusambaza bidhaa na huduma halali kwa lengo la kuwavutia watalii na wafanyabiashara Waislamu.
Habari ID: 3471753    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/27

TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Korea Kusini sasa wamerahisishiwa njia za kupata chakula halali kupitia aplikesheni ya simu za mkononi ijulikanyao kama Crave Halal ambayo pia ina tovuti ya intaneti.
Habari ID: 3471359    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/18

IQNA-Maonyesho ya kwanza ya mavazi ya kike ya Kiislamu yamepangwa kufanyika tarehe 22-23 Novemba katika mji wa Tokyo, nchini Japan.
Habari ID: 3470675    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/14

Mgahawa Halali ulio katika makao ya wanariadha katika michezo ya Olimpiki huko Rio de Janeiro nchini Brazil mbali na kuwavutia wanariadha Waislamu pia unawavutia wasiokuwa Waislamu.
Habari ID: 3470524    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/15

Duka moja la bidhaa halali nchini Ufaransa limeonywa kuwa iwapo haliafiki kuuza pombe na nyama ya nguruwe basi litapokonywa leseni na kufungwa.
Habari ID: 3470507    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/08

Michezo ya Olimpiki mwaka 2016 imeanza Jumamosi katika mji wa Rio de Janeiro nchini Brazil huku wanariadha Waislamu wakihakikishwa kupata chakula halali .
Habari ID: 3470499    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/06

Makamu wa Rais wa Iran na Mkuu wa Shirika la Utamaduni na Turathi Masoud Soltanifar amesema shirika hilo linapanga kuigezua Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa kitovu cha utalii Halali duniani.
Habari ID: 3357519    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/02

Kikao cha Nane cha Muungano wa Redio na Televisheni za Kiislamu kimeanza leo hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3344930    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/16

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatekeleza mkakati wa kuhakikisha inageuka na kuwa kitovu cha utalii halali kwa lengo la kuwavutia Waislamu milioni 15 kutoka maeneo mbali mbali duniani.
Habari ID: 2910925    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/28