iqna

IQNA

ijumaa
Mawaidha
TEHRAN (IQNA) – Katika utamaduni wa Kiislamu, Ijumaa ni maalum kwa ajili ya ibada na kujumuika familia. Wakati huo huo, Ijumaa huwa muhimu zaidi katika mwezi uliobarikiwa wa Ramadhani kwa sababu mwezi huu ni bora kuliko nyakati zingine zote.
Habari ID: 3476822    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/06

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza kuwa idara zote za kiserikali nchini humo sasa zitatumia mfumo mpya wa kufanya kazi siku nne na nusu kwa wiki.
Habari ID: 3474652    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/07

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Oman wamepongeza hatua ya serikali kuruhusu tena Sala ya Ijumaa misikitini baada ya kufungwa kwa muda wa miezi 18 kutokana na janga la COVID-19.
Habari ID: 3474346    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/26

TEHRAN (IQNA)- Misikiti ya Oman imeidhinishwa kuanza tena Sala za Ijumaa baada ya kufungwa kwa muda wa mwaka moja na nusu kutokana na janga la maambukizi ya COVID-19.
Habari ID: 3474328    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/23

TEHRAN (IQNA)- Malefu ya Wapalestina wameshiriki katika Swala ya Ijumaa wiki hii katika Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na Israel.
Habari ID: 3473360    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/14

TEHRAN (IQNA) - Swala ya kwanza ya Ijumaa baada ya miaka 28 imeswaliwa leo katika msikiti wa kihistoria Yukhari Govhar Agha katika mji wa Shusha eneo linalozozaniwa baina ya Jamhuri ya Azeribajan na Armenia la Nagorno-Karabakh.
Habari ID: 3473357    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/13

TEHRAN (IQNA) – Kuwait imesema inapanga kuruhusu tena Swala za Ijumaa wiki hii, vyombo vya habari nchini humo vimeripoti.
Habari ID: 3472965    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/15

TEHRAN (IQNA) –Zaidi ya Waislamu 30,000 wameshiriki katika Swala ya Ijumaa katika msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) huku wakizingatia kanuni za afya zilizowekwa na idara ya wakfu mjini humo kwa lengo la kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19.
Habari ID: 3472903    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/27

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuwa, watu wa Iran kamwe hawatasahu maafa ya mauti ya kuogofya ya Mina katika msimu wa Hija mwaka jana.
Habari ID: 3470545    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/02

Wapalestina hii wanashiriki katika maandamano makubwa yaliyopowa anuani 'Ijumaa ya Ghadhabu' ilikulaani jina za utawala haramu wa Israel na kuunga mkono mapambano na intifadha au mwamko dhidi ya utawala huo.
Habari ID: 3462045    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/11

Ayatullah Ahmad Khatami
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa wiki mjini Tehran amesema kundi la kigaidi la Daesh au ISIS matakfiri kwa ujumla ni mamluki wa Wazayuni ambao wametumwa kwa lengo la kuwagombanisha Waislamu.
Habari ID: 3454898    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/21

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran ameelezea masikitiko yake kuhusu kimya cha Umoja wa Mataifa na taasisi zingine za kimataifa kuhusu mauaji yanayoendelea dhidi ya watu wasio na hatia nchini Yemen.
Habari ID: 3353340    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/29

Ayatullah Khatami
Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema, 'kundi la kigaidi la Daesh ni silaha mpya ya Marekani na madola mengine ya kibeberu inayotumiwa kwa lengo la kuvuruga usalama wa eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 1422882    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/27

Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amekosoa vikali kimya cha jamii ya kimataifa mbele ya mauaji ya umati yanayofanyika katika Jamhuri ya Afrika ya Kati dhidi ya Waislamu. Ayatullah Sayyid Ahmad Khatami amebainisha masikitiko yake kuwa makundi ya Wakristo wenye misimamo mikali wameachwa kuendelea na mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu katika nchi hiyo ya Kiafrika.
Habari ID: 1380936    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/28