IQNA – Waziri wa Urithi wa Kitamaduni, Utalii na Sanaa za Mikono wa Iran, Seyyed Reza Salehi Amiri, amesema kuwa utalii 'Halal' ni jukwaa muhimu katika kukuza mwingiliano wa kitamaduni na kuwavutia wageni Waislamu.
Habari ID: 3481428 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/28
IQNA – Serikali ya Ufilipino imezindua mpango mpya wa kukuza nafasi ya taifa hilo la Kusini Mashariki mwa Asia katika soko la kimataifa la utalii 'Halal', linalokua kwa kasi.
Habari ID: 3481405 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/23
Utalii wa Kiislamu
IQNA - Mpango umezinduliwa nchini Malaysia ili kuvutia watalii wa ndani na nje katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478210 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/18
Uchumi na Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Kongamano la utalii wa Kiislamu (Ziyarah) lilifanyika Samarkand, Uzbekistan, ambapo wazungumzaji walisema utalii huo unaweza kupata pato la dola bilioni 230 ifikapo 2028.
Habari ID: 3476082 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/13
Utalii wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Mawaziri wa Utalii wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) wanatarajiwa kushiriki katika mkutano katika mji mkuu wa Jamhuri ya Azerbaijan, Baku kujadili maendeleo ya utalii katika nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3475430 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/26
TEHRAN (IQNA)-Mji wa Cape Town nchini Afrika Kusini unatekeleza sera za kuwavutia watalii wa tamaduni na dini mbali mbali na kwa msingi huo kuna mpango maalumu wa kuwavutia watalii Waislamu katika fremu ya Utalii Halali.
Habari ID: 3471356 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/16
IQNA-Kenya imeanzisha mkakati wa huduma za 'Halal' za kitalii kwa ajli ya ongezeko la watalii Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3470832 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/04
Makamu wa Rais wa Iran na Mkuu wa Shirika la Utamaduni na Turathi Masoud Soltanifar amesema shirika hilo linapanga kuigezua Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa kitovu cha utalii Halali duniani.
Habari ID: 3357519 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/02
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatekeleza mkakati wa kuhakikisha inageuka na kuwa kitovu cha utalii halali kwa lengo la kuwavutia Waislamu milioni 15 kutoka maeneo mbali mbali duniani.
Habari ID: 2910925 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/28