iqna

IQNA

Al-Masjid an-Nabawī
TEHRAN (IQNA) – Msikiti wa Mtume (Al-Masjid an-Nabawī ) huko Madina, ni mojawapo ya maeneo takatifu zaidi katika Uislamu, na umetembelewa na waumini zaidi ya milioni 200 tangu mwanzo wa mwaka huu wa Kiislamu. Hayo yamedokezwa na Urais Mkuu wa Masuala ya Misikiti Miwili Mitakatifu. .
Habari ID: 3477072    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/30

Habari za Madina
TEHRAN (IQNA) - Zaidi ya chupa milioni 2.2 za maji ya Zamzam ziligawiwa waumini waliofika katika Msikiti wa Mtume (Al-Masjid an-Nabawi) huko Madina katika robo ya kwanza ya mwaka huu wa Hijri.
Habari ID: 3476144    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/25

Ibadah ya Umrah
TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa takwimu, zaidi ya Waislamu milioni tatu wameswali katika Rawdah Tukufu kwenye Msikiti wa Mtume (SAW), Al-Masjid an-Nabawi , mjini Madina katika miezi mitatu ya mwanzo ya mwaka huu wa 1444 Hijria Qamaria.
Habari ID: 3476067    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/10

TEHRAN (IQNA)-Chuo Kikuu cha Taibah nchini Saudi Arabia kimefanikiwa kutumia teknolojia ya nano kuimarisha mfumo wa vipaza sauti katika Al-Masjid an-Nabawi (Msikiti wa Mtume SAW) mjini humo.
Habari ID: 3471249    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/05