ulemavu wa macho - Ukurasa 2

IQNA

TEHRAN (IQNA)-Mtoto mwenye ulemavu wa machi Misri amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamlifu kwa lugha asi ya Kiarabuna pia kwa lugha za Kiingereza na Kifaransa.
Habari ID: 3471450   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/01

TEHRAN (IQNA)- Watoto watu wa familia moja wamehifadhi Qur’ani kikamilifu nchini Misri pamoja na kuwa wamezaliwa wakiwa na ulemavu wa macho.
Habari ID: 3471424   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/10

TEHRAN (IQNA)-Duru ya Tatu ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wenye Ulemavu wa Macho imepangwa kufanyika hapa nchini Iran mwezi Aprili.
Habari ID: 3471358   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/31