Turathi za Kiislamu
IQNA – Sheikh Ahmed al-Tayyeb, Imamu wa Al-Azhar, alitembelea Msikiti wa Sayyida Zainab (SA mjini Cairo siku moja baada ya kufunguliwa tena.
Habari ID: 3478828 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/15
TEHRAN (IQNA)-Nakala nne nadra za Qur'ani Tukufu ni kati ya turathi zenye thamani katika maktaba ya Msikiti wa Sayyida Zainab mjini Cairo, Misri.
Habari ID: 3471372 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/26