iqna

IQNA

scotland
Watetezi wa Palestina
IQNA-Waziri Kiongozi wa Scotland Humza Yousaf ameitaka Serikali ya Uingereza kusitisha uuzaji wa silaha kwa utawala wa Israel kutokana na utawala huo wa Kizayuni kuendeleza mauaji ya kimbari ya raia Wapalestina katika Ukanda Gaza.
Habari ID: 3478417    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/26

Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA)-Katika mkutano kamili wa Baraza la Serikali za Mitaa la Eneo la Scotland, la Uingereza wiki iliyopita, diwani Ali Salamati (Kilbride Magharibi Mashariki) alileta hoja ya kuitaka mamlaka ya eneo hilo azimio la kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia.
Habari ID: 3476253    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/15

TEHRAN (IQNA) - Msikiti Mkuu wa Glasgow, Scotland, ambao unatambuliwa kuwa moja ya misikiti ya kijani zaidi duniani kwa maana kuwa unazingatia utunzaji mazingira katika shughuli zake, sasa utaanza kutumia nishati ya jua kikamilifu.
Habari ID: 3474535    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/09

TEHRAN (IQNA)- Karibu asilimia 83 ya Waislamu nchini Scotland wameshuhudia vitendo vya moja kwa moja vya chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia.
Habari ID: 3474055    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/29

TEHRAN (IQNA) - Wanaharakati wanaounga mkono Palestina wameandamana nje ya uwanja wa mpira wa Hampden Park, huko Glasgow, Scotland nchini Uingereza kulaani mechi iliyochezwa Ijumaa katika ya timu ya taifa ya Scotland na kalbu moja ya soka ya utawala bandia wa Israel.
Habari ID: 3473140    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/05

TEHRAN (IQNA) – Bi. Tasnim Nazeer hakudani atakuwa ripota wa kwanza Mwislamu kuonekana katika televisheni akiwa amevalia vazi la staha la Kiislamu la Hijabu huko Scotland, Uingereza.
Habari ID: 3473026    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/02

TEHRAN (IQNA) – Waislamu kote Scotland nchini Uingereza wameshiriki katika Swala ya Ijumaa wameshiriki katika Swala ya Ijumaa kwa mara ya kwanza baada ya miezi kadhaa baada ya misikiti kufunguwa ili kuzuia kuenea ugonjwa wa corona.
Habari ID: 3472975    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/18

TEHRAN (IQNA) - Polisi katika jimbo la Scoltand nchini Uingereza wanachunguza kitendo cha uhalifu cha chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) baada ya maandishi dhidi ya Waislamu kupatikana yameandikwa katika kuta za msikiti eneo hilo.
Habari ID: 3471969    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/23

TEHRAN (IQNA)- Watu wanaouchukua Uislamu na Waislamu wanauhujumi msikiti huko Scotland nchini Uingereza na kutupa vipande vya nyama ya nguruwe mlangoni.
Habari ID: 3471492    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/03

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa kwanza kujengwa katika eneo la Outer Hebrides huko Scotland nchini Uingereza utafunguliwa katika kipindi cha miezi michahce ijayo hata baada ya Kanisa la Presbyterian kupinga vikali ujenzi huo.
Habari ID: 3471460    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/10