IQNA

Kitabu cha Visa vya Mitume chachapishwa nchini Russia

15:47 - March 03, 2009
Habari ID: 1751240
Kitabu cha Visa vya Mitume kimechapishwa nchini Russia kwa hisani ya Kituo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Moscow.
Kitabu hicho kinasimulia visa vya maisha ya Mitume wa Mwenyezi Mungu.
Kitabu hicho kinafafanua sira ya Mitume wa Mwenyezi Mungu na mafunzo mbalimbali yanayopatikana katika maisha yao.
Kitabu cha Visa vya Mitume kina kurasa 646. 371402

captcha