IQNA

Kuchapishwa kitabu cha 'Utangulizi wa Usomaji wa Qur'ani' kikiwa na maudhui ya 'Mwalimu wa Pili' nchini Russia

18:46 - March 10, 2009
Habari ID: 1754499
Kitabu cha 'Utangulizi wa Usomaji Qur'ani' na maudhui ya 'Mwalimu wa Pili' chenye kurasa 128 na kilichoandikwa na Raminof kimechapishwa na taasisi ya Ilya nchini Russia.
Kitabu hicho kinamsaidia msomaji kusoma Qur'ani Tukufu kwa njia sahihi.
Kitabu hicho kinamfahamisha msomaji njia sahihi ya usomaji Qur'ani kwa kutumia mbinu za kisasa za usomaji wa kitabu hicho kitakatifu.
Kitabu hicho pia kina kanuni za matumizi ya lugha ya Kiarabu. 374893
captcha