Kitabu hicho kimetarjumiwa kwa lugha ya Kibulgaria.
Kitabu hicho kilicho na kurasa 54 kinazungumzia maisha ya Mtume Mtukufu (saw), Imam Ali na Bibi Fatuma (as). Kimekusudiwa kunufaisha zaidi tabaka la vijana.
Kitabu hicho ambacho toleo lake la kwanza limechapishwa katika kopi 1000, kimetarjumiwa na Goldeen Banayatov. 382438