Duru ya pili ya kutunukiwa zawadi wahudumu wa utamaduni na utafiti wa Kiislamu ya Zawadi ya Shahid Muttahari ambayo hutolewa na Kitengo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini New Delhi nchini India itafanyika tarehe 30 Aprili katika ukumbi wa kitengo hicho.