Kitabu hicho kimetarjumiwa kwa lugha ya kiswali na Sheikh Is’haq Pingili.
Kazi ya kutarjumi kitabu cha Nahjul Balagha kwa lugha ya Kiswahil ilianza miezi mitatu iliyopita na tayari thuluthi moja ya kitabu hicho imekwishamalizika.
Tarjumi ya kitabu hicho inafanyika kwa ushirikiano wa taasisi ya uchapishaji ya al Itra ya Tanzania. 384991